Skip to main content

Posts

Featured Post

RAPTURE IS REAL

Rapture is Real
Recent posts

MWENENDO MWEMA, NA TABIA NJEMA KWA KUHESHIMU HEKALU LA ROHO MTAKATIFU:

Kwa kuwa miili yetu ilifanywa kuwa mahali ambapo Roho Mtakatifu (Yesu Kristo) ataketi na kukaa nasi katika kutuelekeza namna ya kuenenda katika uhalisia wa Neno, Tusome maandiko; 1 Wakorintho 6:20 19 Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe; 20 maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu. Kama mkristo halisi unatakiwa utambue ya kuwa wewe ni hekalu la Roho mtakatifu maana tulikwisha kukombolewa na sisi si Mali yetu wenyewe yaani hatuwezi kujimiliki kwasababu yupo aliye mkuu kuliko sisi ambaye ndie anayetumiliki sisi (Bwana Yesu Kristo), na dhahiri ya kwamba tunajua ya kuwa Roho mtakatifu hafungamani na dhambi sasa Ikiwa unajiita mkristo alafu umeshindwa kufanya mwili wako kuwa hekalu la Roho mtakatifu kwa kujitunza kulingana na Neno, na kuepuka maovu yatokanayo na miili hii, bila shaka shetani ataufanya huo mwili utumike kama anavyotaka yeye maana ukisha mkataa R...

KANISA LA MUNGU WA KWELI ALIYE HAI, NA NGUZO YA MSINGI WA KWELI

Biblia Takatifu kamwe haijawahi kukosea katika kutuelekeza njia sahihi ya kuishi na kuenenda katika ibada zetu kama Wakristo halisi, yapo Makanisa mengi sana duniani tena katika nyakati hizi za mwisho na mengine yalikuwako tokea miaka Mingi sana iliyopita, naYanaenenda katika njia tofauti tofauti, hili likimpinga yule, lingine likijaribu kujiinua juu ya lingine lakini yote hayo ni yamesababishwa na kanuni za imani zilizo wekwa ndani ya Makanisa hayo yaani Madhehebu , maana katika Madhehebu zipo kanuni ambazo zinakuwepo kuendesha dhehebu husika , na pia kanuni za imani juu ya dhehebu moja na jingine huwa zinatofautiana sasa tujiulize Kama wote tunanajiita wakristo na tunamuamini Bwana Yesu Kristo kuwa ndiye Neno iweje Leo watofautiane katika hilo Neno? tuangalie mfano halisi dhehebu la Lutheran wanabatiza watoto wadogo, na wanaruhusu wanawake kuhubiri,ukiangalia Roman catholic pia wanabatiza watoto wadogo lakini hawarusu wanawake kuhubiri , Pentekoste nao wanabatiza watu wazima kwa maji...

Believers songs

YOUR HEART SHALL RESPOND POSITIVELY TO THE WORDS OF GOD

NJIA YA KWELI YA WOKOVU KULINGANA NA BIBLIA

Ikiwa ipo njia ya kweli ya wokovu, bila shaka na kwa uhakika njia ya uongo nayo itakuwepo maana Neno ambalo limeandikwa kwenye Biblia takatifu limeonyesha juu ya uongo na ukweli,  na kuwepo kwa roho ya uongo juu ya Ukristo halisi:,       1 Yohana 4:1-6   Wapenzi , msiamini kila roho kwamba zimetokana na Mungu Bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwasababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu. Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu na hii ndiyo Roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani. Ninyi watoto wadogo, mnatokana na Mungu ninyi mmewashinda, kwasababu yeye aliye ndani yenu ni mkuu kuliko yeye aliye katika dunia. Hao ni wa dunia; kwahiyo hunena ya dunia na dunia huwasikia; Sisi twatokana na Mungu yeye amjuaye Mungu atusikia; Yeye asiyetokana na Mungu hatusikii. Katika hili ...