Rapture is Real
Ikiwa ipo njia ya kweli ya wokovu, bila shaka na kwa uhakika njia ya uongo nayo itakuwepo maana Neno ambalo limeandikwa kwenye Biblia takatifu limeonyesha juu ya uongo na ukweli, na kuwepo kwa roho ya uongo juu ya Ukristo halisi:, 1 Yohana 4:1-6 Wapenzi , msiamini kila roho kwamba zimetokana na Mungu Bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwasababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu. Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu na hii ndiyo Roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani. Ninyi watoto wadogo, mnatokana na Mungu ninyi mmewashinda, kwasababu yeye aliye ndani yenu ni mkuu kuliko yeye aliye katika dunia. Hao ni wa dunia; kwahiyo hunena ya dunia na dunia huwasikia; Sisi twatokana na Mungu yeye amjuaye Mungu atusikia; Yeye asiyetokana na Mungu hatusikii. Katika hili ...
Comments
Post a Comment